MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU BAADA YA KUZITIA MKASI NYWELE ZAKE.
Mrembo na
Miss Tanzania wa zamani, Wema Sepetu ameamua kubaki natural baada ya
kuzinyoa nywele zake. Kupitia Instagram, Wema ameshare picha hizo na
kuandika, ‘me apa nimenyoa nywele’. .
No comments:
Post a Comment