Ofisi ya Kikundi Cha Sanaa Tarab yateketea kwa Moto Zanzibar.
Vifaa
vya muziki pamoja na pesa shilingi milioni 2.5 za Kikundi cha Utamaduni
cha Sanaa Tarab vikiwa vimeteketea kwa moto pamoja na ofisi yao iliyopo
Ngome Kongwe, Mjini Zanzibar usiku wa kuamkia jana.
No comments:
Post a Comment