Pages

Thursday, March 21, 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA UWANJA WA AZAM COMPLEX

 

 


Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi Jiwe la Msingi wa Uwanja wa Azam Complex. (Picha na Habari Mseto Blog)
Rais Jakaya Kikwete akiwa kwenye Uwanja mwingine wa Azam ambao bado upo kwenye matengenezo
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe,wakati wa uzinduzi rasmi wa uwanja wa Azam Complex.
Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono mashabiki wa Azam waliokuja kushuhudia uzinduzi rasmi wa uwanja wa Azam Complex,baada ya kuuzindua rasmi uwanja huo.

No comments:

Post a Comment