Taswira
ya vurugu zilizotokea bungeni dodoma jana ambapo Mbunge wa mbeya Mh
mbilinyi akiskiwa pamoja na wenje, lema na wengineo wakionekana kwa
pamoja wakiwazuaia askari ili wasimtoe nje mh Tundu lissu aliyeamriwa na
naibu spika atolewe nje ya ukumbi wa bunge
hapa waziri wa nchi na uratibu wa bunge Mh William Lukuvi akiwaeleza jambo wabunge wa chadema mara baada ya kikao cha bunge kuahirishwa baada ya kutokea vurugu bungeni
upumbafu wa ccm tutaingia msituni
ReplyDeletekiukweli n unyanyasaji wa kisiasa mtu anpokoselewa mana yake anpendwa ila antakiwa ajirekebishe yeye c binadamu wala c kumtimua mtu anayetoa maon yake juu ya suala husika
Delete