Pages

Friday, April 19, 2013

ANGALIA PICHA ZA KIJANA AKIPATA KIPIGO KWA TUHUMA ZA KUIBA POWERWINDOW ZA MAGARI













Tukio hilo limetokea saa kamili usiku mara baada ya kijana huyo kukamatwa na vijana wa 4C NINJAS waliokuwa wakifanya ulinzi kwenye magari yaliopaki bara bara  ya migombani( migombani  street) katika eneo la Mikochen na ndipo aliponaswa na kuanza kuambulia kipigo .

awali kijana huyo ambaye sikuweza kupata majina yake kutokana na vurugu za kumpiga k uendelea katika eneo hilo amablo magari yamepaki nje ya bara bara huku wamiliki wake wakiwa kwenye  msiba ,alijitete kuwa ametoka kazini ambapo ni kazini kwake amesema ni karibu na sehemu wanayopaki


mabasi ya Summri .
wamiliki hao walionekana kuwa na hasira dhidi ya mtu humiwa huyo ambaye aliweza kukabiliwa vikali na kuwekwa chini ya ulinzi ili kusubiri maamuzi zaidi hadi naondoka eneo la tukio hatma ya kijana huyo bado haijajulikana mikononi mwa raia hao ambao wamegoma kumpeleka polisi.

No comments:

Post a Comment