Pages

Monday, April 8, 2013

BREAKING NEWZZZ : WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UINGEREZA MARGARET THATCHER AFARIKI DUNIA




Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza, Margaret Thatcher ameaga dunia.
Thatcher alikuwa na umri wa miaka 87 na msemaji wake ameelezea kuwa alifariki kutokana na ugonjwa wa kiharusi
Thatcher alikuwa mwanamke wa kwanza waziri mkuu wa Uingereza na anasemekana kuleta mageuzi makubwa kisiasa Uingereza alipochukua mamlaka mwaka 1979.
Pia alisifika sana na kuwa mwanamke mwenye ushawishi mkubwa katika siasa za Uingereza.
SOURCE BBC 

No comments:

Post a Comment