Pages

Monday, April 22, 2013

HACKERS WAENDELEA KUTIKISA SASA WAFIKA HADI KWA MAKAMU WA RAIS NA KUIFANYA VIBAYA, CHEKI HAPA



Katika hali isiyo kuwa ya kawaida hacker waendele kusumbua sasa ni zamu ya tovuti ya serikali ya makamu wa rais  kilicho andikwa nimatusi  kwa maandishi na kuna muziki wa hiphop wa mitusi.. Kuna mtu anajiita Govt Attacker. Mr. Spam ..! Eti ni Mmoroco. Home - uone. Je hii inamaanisha nini kwa systems zetu za mawasiliano kuwa rahisi kufanyiwa uhuni kama hivyi mpaka lini.

No comments:

Post a Comment