Pages

Sunday, April 14, 2013

HALI NI MBAYA SANA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA COMPUTER LABS ZA INTERNET JIONEE MWENYEWE HAPA.

 HII NI MOJA YA DESKTOP COMPUTER IKIWA IMEANZAA KUFUNGULIWA
 HAPA TAYARI MLANGO WA PEMBENI USHAFUNGULIWA NA UNADONDOKA
HAPA TAYARI DESKTOP COMPUTER ISHAFUNGULIWA KABISA NA IPO WAZI
HALI YA INTERNET LAB YA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA INASIKITISHA SANA,KWANI COMPUTER NYINGI NI MBOVU NA HAZIFANYI KAZI NA PIA KUNA UBADHILIFU WA VIFAAA KATIKA COMPUTER HIZO,MTANDAO HUU ULIPITIA INTERNET LABS HIZO NA KUKUTA ZIKIWA ZIMEFUNGULIWA NA HAZIFANYI KAZI,PIA INAONEKANA BAADHI YA VIFAA VIMEIBIWA,NA HUKU NDANI YA CHUO HIKI KUKIWA NA IT EXPERT WENGI NA PIA KUKIWA NA ULINZI WA CCTV CAMERA,SWALI LA MSINGI JE IT DEPARTMENT YA CHUO HIKI IMELALA FOFOFO BILA KUJUA?NA WAKATI KUNA CCTV CAMERA ZA KUTOSHA?

No comments:

Post a Comment