Pages

Friday, April 26, 2013

HII NDIO BARUA YA MSAMAHA ILIYOANDIKWA NA LUIS SUAREZ

 


image
Kwa ufupi alichosema Tevez ni hiki “Ukweli kabisa napenda kuomba radhi kwa tukio lililotokea, ni matumaini yangu wote niliowakosea pale Anfield jumapili iliyopita watanisamehe,  najua kila kitu kinachonitokea sasa hivi hapa England kitasaidia kurekebisha tabia yangu uwanjani… naelekeza akili yangu uwanjani ili niwe mchezaji bora lakini niwe binadamu bora nje ya uwanja pia”
“Napenda kumweleza kila mtu kwamba nimekubali adhabu ya kufungiwa mechi 10 pamoja na ukweli kwamba ni adhabu kubwa labda kuliko baadhi ya makosa makubwa yaliyowahi kufanywa zamani, natambua kwamba nilichokifanya hakikubaliki na hakina nafasi michezoni hivyo sitaki kutoa taswira mbaya kwa watu kwa kukata rufaa, napenda kujifunza kupitia yale yote yaliyonitokea kwenye miaka miwili na nusu, ni mengi yamesemwa na kuandikwa”
.
Tukio lenyewe.

.
PICHA KWA HISANI YA MILLARD AYO

No comments:

Post a Comment