Pages

Monday, April 8, 2013

HUZUNI:::MFANYA BIASHARA WA KIHINDI AUAWA NA KUPORWA MIL 100, SALENDER BRIDGE



Majambazi yamempiga risasi mfanyabiashara wa Kihindi na kumuua papo hapo na kumpora shilingi milioni 100 eneo la Salender Bridge, Upanga Dar es Salaam leo jioni .
Kwa mujibu wa walioshuhudia sakata hilo, wanasema mtoto wa kike wa marehemu pia alipigwa risasi ya paja, lakini akafanikiwa kuendesha gari lao huku akiwa na mwili wa marehemu babake hadi Hospitali ya Regency...endelea kupitia mtandao huu kwa habari zaidi..
Hivi sasa msichana huyo shupavu, anaendelea na matibabu katika hospitali hiyo...
Habari zaidi tutaendelea kuwaletea kadri tutakavyokuwa tunazipata..
SOURCE AUDIFACE JACKSON BLOG

No comments:

Post a Comment