Hili
ni tukio baya kutokea Nchini Brazil pale jamaa mmoja ajulikanae kama
''Dai'' kumuhua Mpenzi wake pamoja na mtoto mdogo mwenye umri wa miezi 8
baada ya kungudua eti si mtoto wake alietokana na mbegu zake bali ni
mtoto wa mwanaume mwingine tofauti na yeye.
Jamaa
huyo mwenye umri wa miaka 36 alifanya tukio ilo bafuni na baada ya
kumaliza kufanya Unyama huo nae alitaka kujuhua kwa kutumia sumu aina ya
BB rakini hakufanikiwa. Jamani wito wetu matukio kama haya yapo sana
hata uko kwetu Tanzania na nchi nyingine pia tumieni busara katika
kuamua mambo kama haya.
No comments:
Post a Comment