Pages

Saturday, April 20, 2013

MAREKANI IMEKUMBWA TENA NA MKASA MWINGINE, ARDHI IMEMEZA MAGARI



.
Hili tukio limetokea jana Alhamisi huko Chicago katikati ya makazi ya watu ambapo ni dereva mmoja tu ndio alijeruhiwa, chanzo ni kupasuka kwa bomba la maji hivyo ardhi ikajaa sana maji.
.
.
.

No comments:

Post a Comment