Godzilla
Ameniambia Amemkubali sana Kama Shabiki Wake na Ameonyesha Kukubali
Hustle Zake So Much Love Kwake. Binti huyu aliye fanya hivi hajawahi
kukutana na Godzilla Na Hawajawahi Hata Kuongea. Alimtumia picha hizi
kwenye email. King Zila Aliweka Hizi Picha Kwenye Ukurasa Wake Wa Facebook.
No comments:
Post a Comment