Isabela "Vai wa akiwa chakali kwa mitungi
Hisia
zetu zinatupeleka pabaya sasa na kuacha fikra zetu ziamini kuwa msanii
huyu anapenda hali hali hii kwani hafanyi tukio lolote baya kama hakuna
waandishi wa habari ,hali hii imefanya jamii isimuelewe na hata wasanii
wenzie wameanza kumtilia shaka na kusema anaichafua tasnia ya filamu
nnchini kwakulitumia vibaya jina la bongo movie kila anapohojowa au kuwa
maeneo ya waandishi hujinadi kama msanii wa bongo movie.
akizungumza
na mtandao huu raisi wa shirikisho hilo nchini bwana Saimoni
Mwakifwamba amesema wanasikitishwa na watu wa aina hiyo na kusema
wamepanga adhabu kali sana kwa wale wote watakaofanya matukio ya kijinga
na kuichafulia sifa swahili hood ambayo imeanza kukuwa na kutowa ajira
kwa kwa watu wengi sana.
Nadhani
tutakumbuka kuwa si mara ya kwanza kwa msanii huyu kuvuma na kuchukuwa
sura katika kurasa za magazet na blog mbali mbali kwa tabia yake ya
kuvua nguo,tabia ambayo mwanzo watu walidhani ni bahati mbaya lakini kwa
sasa inakuwa kila kukicha.
No comments:
Post a Comment