Pages

Wednesday, April 24, 2013

MWANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (IAA) ACHOMWA KISU USIKU HUU NA KUPOTEZA MAISHA


MWANAFUNZI AJULIKANAYE KWA JINA LA HENRY KOVA  AMECHOMWA KISU ALIPO KUWA AKIPITA MAENEO YA  SDA ,KWA MUJIBU WA CLASSMATE WAKE DAVID MAWOLE AMEONGEA NA MTANDAO HUU NA KUELEZEA KWAMBA MWENZAO ALICHOMWA KISU CHA  SHINGONI NA VIBAKA HAO WAKATI AKIPITA ENEO HILO AKITOKEA NJIRO COMPLEX NA PIA WALISEMA ALIKUWA NA SIMU NA LAPTOP NA BAADHI YA VITU,TUNAENDELEA KUFUATILIA NA KUPATA TAARIFA ZAIDI,

No comments:

Post a Comment