Pages

Friday, April 19, 2013

SAFARI LAGER KUSHEREHEKEA UBINGWA WA BIA BORA AFRIKA NA WABUNGE MJINI DODOMA



 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Robin Goetzsche (wa tatu kushoto) akikabidhi Kombe la Ushindi wa Bia Bora Barani Afrika ulioupata Bia ya  Safari Lager kwa Ujumbe wa Kampuni hiyo unaelekea Bungeni Mjini Dodoma  wa kupata baraka za waheshimiwa Wabunge na kuzindua rasmi wa ziara ya  kupeleka kombe hilo katika mikoa mbalimbali hapa nchini.Pichani toka  Kushoto ni Mkurugenzi wa Miradi Maalum wa Kampuni ya Bia Tanzania,Phocas Laswai  (kushoto),Mpishi Mkuu wa Bia za TBL,Gaudence Mkolwe (pili  kushoto),Mkurugenzi wa Masoko,Kushillla Thomas,Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Steve Kilindo (pili kulia) pamoja na Meneja Bia ya Safari  Lager,Oscar Shelukindo.
Ujumbe wa kampuni ya Bia Tanzania uliokabidhiwa kombe hilo kwaajili ya
kupeleka Bungeni Mjini Dodoma,Ukiongozwa na Mkurugenzi wa Miradi Maalum  wa Kampuni ya Bia Tanzania,Phocas Laswai (kushoto),Mpishi Mkuu wa Bia za TBL,Gaudence Mkolwe (pili kushoto),Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa  Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (pili kulia) pamoja na  Meneja Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo.

No comments:

Post a Comment