Mshambuliaji
wa Liverpool Luis Suarez ameomba radhi kutokana na kitendo chake cha
kumng'ata mkononi beki wa Chelsea Branislav Ivanovic wakati timu hizo
mbili zilipocheza jumapili jioni kwenye mchezo wa ligi kuu soka nchini
Uingereza.
Ivanovic akimuonyesha mwamuzi alivyong'atwa:CHANZO BBC
No comments:
Post a Comment