Pages

Wednesday, April 24, 2013

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA::HUYO NDO MWANAFUNZI ALIYEUAWA KWA KUCHOMWA NA KISU CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

Jamaa.
CHUO CHA UHASIBU ARUSHA NA SINTOFAHAMU YA MAUWAJI YA PILI
Maelfu ya wananfunzi wa Chuo Cha Uhasibu kilichopo Njiro Jijini Arusha wamejikuta wakimaliza siku vibaya baada ya kupewa kichapo cha nguvu na askari wa Jeshi la Polisi waliokuwapo chuoni hapo kufuatia azma ya wananfunzi hao kutaka kuandamana kwenda kwa Mkuu wa Mkoa kupeleka kilio chao kuhusu kile walichoeleza kuwa ni hali ya hatari kwa maisha yao chuoni hapo
Kuna baadhi ya watu walijificha chini uvunguni mwa magari na wengine ndani kuepuka kipigo. Blog hii iliweza kushuhudia kijana mmoja aliyepasuliwa kichwa akivuja damu nyingi eneo la Utawala na kuwahishwa hospitali na gari ya chuo iliyokuwa imepaki eneo hilo
KWA SASA CHUO KIMEFUNGWA KWA MUDA USIOJULIKANA

No comments:

Post a Comment