Pages

Tuesday, April 30, 2013

UZINDUZI WA G12 CLUB NDANI YA JIJI LA MBEYA IJUMAA HII 3 APRIL, 2013


Wale wakali wa burudani jijini Mbeya siku zote since day one, on to the next one ni good time every Friday & Saturday. Ijumaa hii ya tarehe 3 Mei 2013 ni uzinduzi wa G12 Club zamani Nebana Pub pande za Soweto ndani ya Mbeya. Ijumaa hii na Jumamosi na nyingine zote katika kuhakikisha unapata burudani uliyoikosa kwa muda mrefu na umekuwa ukijiuliza utaipata lini, Sasa majibu ya maswali yako yamepatikana kwa kupata burudani kali ndani ya G12 Club zamani Nebana Pub Soweto Mbeya kila Ijumaa na Jumamosi. Anashuka Dj Zero wa XXL na Dj 2 Short wa Amplifaya kutoka Clouds FM The People's Station Dar es salaam huku wakiwa na mwenyeji wao Dj Imma kutoka jijini Mbeya. Ni kuanzia saa 3 usiku mpaka dawn Kwa kiingilio cha shilingi 5,000 tu. Uzinduzi wa G12 Club zamani Nebana Pub Ni Ijumaa Hii ya tarehe 3/5/2013 ---Hapa Dj 2 Short Na Dj Zero kutoka Clouds FM na mwenyeji Dj Imma kutoka Mbeya - Here's where the party runs into your big vein...Usikose!!!

No comments:

Post a Comment