Mwizi wa
mkongo wa mawasiliano amekamatwa akiwa na vipande vya mkongo maeneo ya
boko darajani jijini Dar es salaam. Matukio kama haya yamekuwa ni
vipingamizi katika kutoa huduma bora kwa wateja wetu.
Kutokana
na hali hiyo, sisi kama wadau wa mawasiliano, tunapenda kuwaasa
Watanzania kwa ujumla, kama kweli tuna uzalendo wa kweli na mapenzi ya
dhati na kampuni yetu ya mawasiliano inabidi kujitoa zaidi katika
kufanikisha usalama wa miundombinu ya kampuni yetu.
Kwa matukio yeyote kama haya naomba msisite kutoa taarifa polisi au toa taarifa kwa namba zifuatazo:- 0737206622 , 0737206623, 0737206624 ,
MSEMAJI
OFISI ZA MKONGO WA TAIFA
Maisha Magumu ndio yanasababisha wafanye hivyo
ReplyDeletenaamini hawapendi.