BREAKING NEWS: MAJAMBAZI YAVAMIA GARI NA KUPORA MAMILIONI DAR
majamabazi yaliyokuwa na silaha aina ya smg yakiwa na pikipiki aina ya bajaj muda huu yamevamia gari ndogo aina ya Vitz na kuwajeruhi watu wawili wenye asili ya kihindi waliokuwa ndani yake na kuwapora furushi la fedha.Tukio hilo limetokea eneo la sayansi-kijitonyama jijini dar. source global publisher
No comments:
Post a Comment