Shows mbili zilizokuwa zifanyike ijumaa hii Tar 31 Mwezi wa tano zimehairshwa kutokana na msiba wa msanii maarufu ngwea,aliyefariki akiwa nchini South Africa mapema Mchana wa leo,Mwana FA akiongea na kipindi cha ampilifaya cha clouds fm amesema kwamba wameamua kuhairisha show yao hiyo ikiwa ni heshima kwa msanii huyo,na akaongeza show itafanyika mara baada ya mazishi yake na tarehe mpya ya show hiyo itatangazwa siku chache zijazo,Msanii kalapina wa kikosi cha mizinga naye ameamua kuhairisha show yao iliyokuwa ifanyike ijumaa hii pia.
MGAMBO 80 WAHITIMISHA MAFUNZO BOMBO WILAYANI SAME
-
Vijana askari 80 wa Jeshi la Akiba (Mgambo) wamehitimu mafunzo yao ya miezi
minne yaliyofanyika katika kata ya Bombo, Tarafa ya Gonja Wilaya ya Same
Mkoani...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment