Bila shaka unafahamu kuwa Nay wa Mitego ni baba mtarajiwa. Mara nyingi
Nay amekuwa akiweka picha ya mpenzi wake anayetarajia kumzalia mtoto
hivi karibuni lakini hujawahi kuona picha yake inayoonekana vizuri
zaidi. Tazama picha hizi za shemeji/wifi yetu zilizochukuliwa kwenye
show ya Nay na Diamond, Dar Live weekend iliyopita.
CHANZO : BONGO 5
No comments:
Post a Comment