Pages

Wednesday, May 1, 2013

HIKI ALICHOANDIKA ADAM JUMA WA VISUAL LAB NA JIBU LA NISHER KUHUSU VIDEO YA G-NAKO 'MAMA YEYOO'


Baada Ya Video Ya Mama Yeyoo Kutoka Adam Juma Wa Visual Lab Ambaye Pia Ndio Mtayarishaji Bora Wa Video Hapa Tanzania Alitoa Maneno Machache Ya Kujenga Kuhusu Video Hio Na Mtayarishaji Wake.

Jibu La Nisher Ambaye Ndio Mtayarishaji Wa Video Ya Mama Yeyoo Ndio Hili.
Angalia Hapo Chini Mpaka Leo Tarehe 1 May 2013 Video Imetazamwa Mara Ngapi Utube.


No comments:

Post a Comment