Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda, wakiwasili kwenye Ukumbi wa Jumba la Makumbusho ya Taifa,
leo Mei 24, 2013 kwa ajili ya Kufungua rasmi Maonesho ya Mfumo wa
Matokeo Makubwa ‘Sasa’ Awamu ya kwanza.Rais

Mizengo Pinda, wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mchambuzi Sera Mkuu wa
Ofisi ya Rais na Mipango, Lorah Madete, wakati walipokuwa wakitembelea
Maonesho ya Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa Awamu ya Kwanza, baada ya
kuyafungua rasmi leo katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar es
Salaam. Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda, wakisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Mtafiti Mkuu wa
Wizara ya Kilimo, Dkt. Mary Shetto, wakati walipokuwa wakitembelea
Maonesho ya Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa Awamu ya Kwanza, baada ya
kuyafungua rasmi leo katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar es
Salaam. Picha na OMR
Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda, wakiwa kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa wakati wa
Ufunguzi rasmi wa Maonesho ya Mfumo wa Matokeo Makubwa ‘Sasa’ Awamu ya
Kwanza leo Mei 24, 2013. Msanii
maarufu wa kughani, Mrisho Mpoto, wakibinjuka Sarakasi, wakati kikundi
chake na Bendi yake ya Mjomba ilipokuwa ikitoa burudani katika Maonesho
ya Mfumo wa Matokeo Makubwa ‘Sasa’ Awamu ya Kwanza, yaliyofunguliwa na
Rais Jakaya Kikwete, leo Mei 24, 2013. MWanamuziki
wa Bendi ya Mjomba, wakiimba kutoa burudani katika Maonesho ya Mfumo wa
Matokeo Makubwa ‘Sasa’ Awamu ya Kwanza, yaliyofunguliwa na Rais Jakaya
Kikwete, leo Mei 24, 2013. Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda, wakiwasili kwenye Ukumbi wa Jumba la Makumbusho ya Taifa,
leo Mei 24, 2013 kwa ajili ya Kufungua rasmi Maonesho ya Mfumo wa
Matokeo Makubwa ‘Sasa’ Awamu ya kwanza.
No comments:
Post a Comment