Pages

Sunday, May 19, 2013

Picha Zote Za Tukio LA Vurugu IRINGA kati Ya POLISI na WAMACHINGA.

 Polisi  wakipita  eneo la Mashine  tatu asubuhi  hii

 Abiria  na  wapiga  debe  stendi kuu  wakinawa maji baada ya  kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha  na askari  wa FFU leo

 Mmiliki  wa mtandao huu mzee wa matukio  daima akinawa maji baada ya  kupigwa  bomu la machozi




 Hali  ikiendelea  kuwa  tete  kwa machinga  kufunga barabara  kuu  ya  Iringa  Dodoma na ile ya mashine  tatu 

Ni Machafuko  Iringa  hivi  leo
















 mbunge  wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwasili  eneo la vurugu kabla  ya kuanza kwa  vurugu  hizo 

 Mbunge Msigwa akiondoka  eneo la mashine  tatu  

 Machinga  wakisukuma gari ya  mbunge Msigwa  

 Polisi  wakimfuatilia  mbunge Msigwa kwa  nyuma baada ya  kufika eneo hilo  bila kufanya biashara kama alivyoahidi 

Polisi  wakianza  kufukuza  wananchi  eneo hilo
picha kwa hisani ya Francis Godwin

No comments:

Post a Comment