Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 1, 2013

TUHUMA NZITO: CHADEMA YAMTUHUMU KATIBU MKUU WA CCM TAIFA KUHUSIKA NA BIASHARA YA PEMBE ZA NDOVU.


Abdulrahman Kinana.
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/1756656/highRes/494903/-/maxw/600/-/a8ih56z/-/msigwa+pembe.jpgMbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni katika Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa. Picha na Said Ng’amilo.TEMBO AKIWA KATIKA HIFADHI NA MAISHA YAKE.

PEMBE ZA NDOVUTEMBO ALIYEUAWA NA KUTOLEWA SEHEMU NYAMA INAYOSHIKILIA PEMBE ZAKE BAADA YA KUUAWA.


DDODMA.  
KAMBI ya Upinzani Bungeni imetoa tuhuma nzito kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ikidai kuwa anajihusisha na mtandao wa ujangili nchini.
Hata hivyo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi amejibu tuhuma hiyo akisema ni za uongo huku akiituhumu kambi hiyo kuwa imedanganya wakati inajua ukweli kuhusu tuhuma dhidi ya Kinana.
Akiwasilisha maoni ya upinzani kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii mwaka 2013/14, Msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu Maliasili, Mchungaji Peter Msigwa alisema vitendo vya ujangili vimekuwa vikilitia doa taifa kwenye jumuiya za kimataifa.

No comments:

Post a Comment