Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, pia Mbunge wa Arumeru
Magharibi, Goodluck Ole Medeye (katikati mwenye suti nyeusi) akipokea
sehemu ya msaada wa mifuko 200 ya Cement kutoka kwa Meneja Mahusiano
Jamii wa Twiga Cement, Natasha D’Souza, iliyotolewa na kampuni hiyo
kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyosababishwa na mvua katika kijiji
cha Marurani na maeneo jirani wilayani Arumeru Mkoani Arusha hivi
karibuni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Arusha mwishoni mwa wiki.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na pia Mbunge wa Arumeru
Magharibi, Goodluck Ole Medeye (katikati mwenye suti nyeusi)
akimshukuru Meneja Mahusiano Jamii wa Twiga Cement, Natasha D’Souza,
baada ya kupokea msaada wa mifuko 200 ya saruji iliyotolewa na kampuni
hiyo kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyosababishwa na mvua katika
kijiji cha Marurani na maeneo jirani wilayani Arumeru Mkoani Arusha hivi
karibuni.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na pia Mbunge wa Arumeru
Magharibi, Goodluck Ole Medeye (kulia) akizungumza baada ya kupokea
msaada wa mifuko 200 ya saruji iliyotolewa na kampuni ya Twiga Cement
kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyosababishwa na mvua katika kijiji
cha Marurani na maeneo jirani wilayani Arumeru Mkoani Arusha hivi
karibuni. Kulia kwake ni Meneja Meneja Mahusiano Jamii wa Twiga Cement,
Natasha D’Souza.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na pia Mbunge wa Arumeru
Magharibi, Goodluck Ole Medeye (aliyeshika kamba kulia) akisaidia
maandalizi ya ujenzi wa daraja sehemu iliyoharibiwa na mafuriko katika
hafla ambayo kampuni ya Twiga Cement ilikabodhi msaada wa saruji
kusaidia waathirika wa mafuriko yaliyosababishwa na mvua katika kijiji
cha Marurani na maeneo jirani wilayani Arumeru Mkoani Arusha hivi
karibuni.
No comments:
Post a Comment