Pages

Thursday, May 2, 2013

UCHAFU WAKITHIRI MAENEO YA MWENGE KARIBU NA BUCHA ZA NYAMA,NI HATARI KWA AFYA ZA BINADAMU.

 HILI NI ENEO AMBALO UCHAFU HUWA UNAMWAGWA,LAKINI KUTOLEWA HUCHUKUA MDA
 UCHAFU ULIOOZA MPAKA KUTOA HARUFU KALI

HAPO UCHAFU MWINGINE UKIWA UMEFUNIKWA NA TURUBAI

HALI YA ENEO LA MWENGE KARIBU NA KOTA ZA JESHI NI MBAYA SANA KIUSAFI KUTOKANA NA KUZIDIWA NA UCHAFU MWINGI SANA,ENEO HILO HUTUMIKA NA MANISPAA KUWEKA TAKA NA KISHA KUZIONDOA,LAKINI KINYUME NA MATARAJIO UCHAFU UNAOWEKWA ENEO HILO HAUTOLEWI KWA WAKATI,NA KUPELEKEA KUOZA NA KUTOA HARUFU KALI NA KUSABABISHA KERO KWA WATU WA ENEO HILO NA WAPITA NJIA.WAKIONGEA NA MTANDAO HUU WA dj-sek.blogspot.com WATU WA ENEO HILO WAMEPELEKA LAWAMA KWA SERIKALI YA MTAA KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA USAFI KWA MAKINI WA ENEO HILO,KWANI WAMEONGEZA KWA KUSEMA PESA YA  USHUHURU HUCHUKULIWA NA HAKUNA UTENDAJI WOWOTE.

No comments:

Post a Comment