WAASI WA M23 WATISHIA KUTUVAMIA MUDA WOWOTE....SERIKALI YA MKOA WA KAGERA YATOA TAHADHARI KWA WANANCHI
Serikali
ya Mkoa wa Kagera imewatahadharisha wananchi wake kuepukana na wageni
wasiowafahamu kwenye maeneo yao kutokana na tishio la kikosi chaM 23 cha
nchini Congo DRC kinachotishia kuivamia Tanzania...
Kumekuwa na mapigano makali kati ya waasi waM23 na vikosi vya serikali nchini Congo ambako jeshi letu lipo huko...
Waasi
hao wametishia kuivamia Tanzania muda wowote ili kulipiza
kisasi.Miongoni mwa mipaka ambayo iko wazi ni Kagera, na hii ndo sababu
iliyopelekea serikali ya Mkoa huo kutoa tahadhari kwa wananchi wake na
watanzania kwa ujumla.... Credit: ITV
No comments:
Post a Comment