Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Alia Aviation Consultants Mahmud .M. Shamte (aliesimama)
akifafanua jambo katika mkutano huo wa maboresho ya utoaji wa leseni kwa
makampuni yanayohudumia viwanja vya ndege . Mei 30.2013 jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya wadau wa mkutano wa wazi wa maboresho wa utoaji
wa leseni kwa makampuni yanayohudumia viwanja vya ndege nchini wakifuatilia mada
mbalimbali katika mkutano wa siku moja uliofanyika Mei 29.2013, jijini Dar es
Salaam ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) wa Mamlaka ya Usafiri
wa Anga Mkutano huo umezungumzia masuala mbalimbali jinsi ya kuboresha huduma
za usafiri wa anga pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili wadau wa
sekta hiyo.
No comments:
Post a Comment