Bi Denisia Mangwea.mama mzazi wa msanii Albart Mangwea
MAMA mzazi wa marehemu Albart Keneth Mangwea Bi Denisia
Mangwea[63] leo asubuhi ameanguka ghafla baada ya kupoeka taarifa kwamba
mwili wa mtoto wake Albeth umeshindwa kuwasili nchini ukitokea Afrika
ya kusini.Mtandao huu leo mchana ulipokea taarifa z a tukio hilo
ambapo ambapo dada mkubwa wa Albeth Bi Magreth Mangwea alipoulizwa
alithibitisha mama yake kuanguka ghafla baada ya kusikia mwili wa
mpendwa mtoto wake umeshindwa kuwasili nchini.
" Ni kweli leo asubuhi mama alipoamka tu
kauli mwili wa mwanae umeshafika Dar es salaam alipoambia bado haijasika
aliangua kwa presha na kwa sasa amelazwa hospita ya mkoa wa Morogoro
akiendelea na matibabu mchna huu nimetoka huko amezinduka na anaendela
vizuri kwa sasa na kwamba muda wowote anaweza kutolewa hospital"alisema
Bi Magreth huku akiangua kilio.Mwandishi wa habari hizi alifika katika
hospital hiyo na kukuta mama huyo mtaratibu akijianda kupewa ruhusa ya
kurejea nyumbani Kwa taarifa zaidi endelea kutembea mtandao huu ambao
kwa sasa umetega mitambo yake nje ya hospital hiyo ukisaka picha za mama
huyo akiwa eneo hilo la hospital. NA DUSTAN sHEKIDELE,MOROGORO.
No comments:
Post a Comment