Lori
moja la kubebea mafuta ya vyombo vya moto likiwa limeanguka eneo la
Kongowe, Kibaha kama lilivyokutwa na mpiga picha jioni ya Jana. Wananchi
wanaonekana wamelizungukaa hawanahofu ya hatari inayoweza kutokea kama
zilivyotokea nyingine siku zilizopita
No comments:
Post a Comment