Facebook
imefuata mkondo Twitter kwa kuanzisha akaunti na kurasa
zilizothibitishwa (verified pages/accounts) ili kuwawezesha watu
mashughuli kuthibitisha akaunti akaunti na fan page zao. Facebook
wamesema wamefanya hivyo ili kusaidia watumiaji wa Facebook kuzitambua
akaunti za kweli za mastaa na watu wengine mashughuli wanaotumia mtandao
huo, pia ikiwemo biashara zenye majina makubwa.
Kurasa zilizothibitishwa zitakua na alama ya blue ya pata “check-mark” kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu. Watu wataoruhusiwa kutumia huduma hiyo ni, viongozi wa serikali, waandishi wa habari maarufu, makampuni au bidhaa maarufu. Hivyo kuanzia sasa, utaweza kufahamu akaunti/pages zipi ni za kweli na zipi ni feki.
Ili mtu mashughuli kupata akaunti iliyohakikishwa, mhusika atahitaji kuwasilisha kitambulisho halali kinachotambuliwa kiserikali. Nadhani celebrities (mastaa) Wengi wa Afrika wataipenda hii. Kama mfano Wema, kuna page zaidi ya kumi zinazodai kuwa ni “Wema Sepetu”

No comments:
Post a Comment