Pages

Thursday, June 27, 2013

Hawa ndo WABUNGE WATANO WANAOCHANGIA SANA BUNGENI NA WASIOCHANGIA



Uchambuzi umeonyesha kwamba Wabunge wanaotoka katika vyama vidogovidogo na vyenye viti vichache huwa na wastani wa juu zaidi wa ushiriki. Tathamini hii inazingatia ushiriki uliofanywa na Wabunge katika miaka miwili ya kipindi cha ubunge cha 2010 – 2015. Wabunge wanaweza
kushiriki kwa namna tatu: kwa kuuliza maswali ya msingi, maswali ya

nyongeza na kutoa michango. Katika namna zote hizi, TLP ambacho kina mbunge mmoja na NCCR-MAGEUZI watano, , vilikuwa na kiwango kikubwa zaidi chaa ushiriki kwa Mbunge. Hata hivyo, ukiondoa vyama vidogovidogo vyenye chini ya asilimia 5 ya uwakilishi Bungeni, Chadema kinafanya vema zaidi, kikifuatiwa na CUF na CCM

No comments:

Post a Comment