Jamaa
huyu asie na roho ya huruma akimmalizia mtuhumiwa na bonge la tofali!
Tukio hili limetokea maeneo ya mbagala charambe mida ya saa sita mchana
baada ya kibaka huyu kubahatika kukuta raia mwema kasahau kufunga
mlango, Kibaka akazama ndani na kuchukua begi languo taratiiibu kama
lake! Hakuridhika na begi alivyotazama pembeni akaona simu akaihifadhi
mfukoni kiaina! Ile kutokanje tu akakutana na wenye nyumba uso kwa
uso!!! Hapo ndipo mbio za marathon zilipoanza!!!!! Watu mwiziii mwiziiii
mwiziiiiii mwiziiiiiiiiii!!!!! Jamaa akabahtika kujisweka kwenye jumba
bovu lililoko uchochoroni na kuinusuru roho yake, Raia wenye hasira kali
hawakumuona wakapita, Kufika mbele kidogo wakajadiliana na kukata tamaa
wakati wakirudi majumbani kwao mara ghafla! Kurupu! Jamaa akachomoza
kwenye dirisha la lile jengo bovu alilojificha, Harakati zikaanza
upyaaaaaa!!!!! Aaaa... Anko jambazi hakuchukua raundi akatiwa
mikononi...
.
.
Moto unawaka!
Tairi limeletwa
Anko jambazi ameveshwa tairi na kutiwa moto! Izraeli anapiga push up pembeni!!!
Shuhuli imeishia hapo.
PICHA NA Ommy BrowCHANZO : MASAI NYOTAMBOFU BLOG
No comments:
Post a Comment