Mama yake Msanii Diamond akiwasili maeneo ya kigogo msiba ulipokuwepo akiwa na dada yake Diamond Esmah Khan.... |
Umati wa watu ukiwa umekusanyika nyumbani kwakina Barnaba Boy Classic kutoa heshima za mwisho..! |
Familia wakitoa heshima za mwisho.....!! |
Ni huzuni na sintoamini utawala kipindi hiki inapofika kuagana mara ya mwisho na mpendwa wako.... |
Barnaba akiagana na Mama kwa mara ya mwisho.....!! |
Madee along side with Lady Naa....walikuwepo pia....!! |
Joh Makini baada ya Kuaga Mwili.....!! |
Baadhi ya wanakikundi wanaounda Tanzania House of Talent (T.H.T) |
Mwili ukiwa umepakiwa tayari kabisa kuelekea makaburini kwaajili ya maziko kumpumzisha Mama....!! |
Bi sandrah akiondoka maeneo ya nyumbani kuelekea makaburini kuzika baada ya kutoa heshima za mwisho! |
Esmah Khan & Hawa video queen kwenye wimbo wa Ntaerejea aliyoshilikishwa na msanii Diamond walikuwepo kuwafariji wafiwa... |
Qboy msafii along side with kisula wakiwa tayari kuelekea makaburini...!! |
Hapa mwili ukiwa umeasili makaburini tayari kabisa kwa maziko...! |
Jeneza likishushwa kaburini na wanafamilia....!! |
Barnaba akitupa mchanga wa mwisho kuashiria ishara ya alipotoka ni mavumbini na atarudi mavumbini..... |
Barnaba akionekana kuishiwa na nguvu kabisa mpaka kufikia hatua ya kutokuweza kusimama, ilibidi asaidiwe...!! |
Mume wa Bi Mariamu Arubeth akiweka mchanga kaburini...!! |
Jeneza likiwa ndani ya kaburi tayari kwa kuanza kufukia na mchanga.....! |
Hyper Man HK alikuwepo pembeni na mwanamuziki Shilole...!! |
Producer Lamar Niekamp wa Fishacrab Studio alikuwepo pia...! |
Hali ile ya uchungu na kulia sana ilipelekea Barnaba kukosa nguvu na kuzimia kwa dakika kadhaa... |
Baada ya kuzinduka akisaidiwa kuingia kwenye gari kuwaishwa Hospital kutokana na kupoteza nguvu kabisa...!! |
Simple the Boyalionekana kuwa mbele kwenye ratiba ya makaburini kuakikisha mipango inaenda sawa...!! |
Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini kuashiria ishara ya ufufuo...!! |
Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya marehemu Mariamu Arubeth...!! |
Msemai wa Familia akitoa maelekezo kwa waombolezaji mara baada ya kumaliza shuguli a maziko...!! |
Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada ya shuguli ya mazishi kukamilika...!! |
Mama yangu kipenzi Bi Sandrah akiondoka makaburini baada ya kuniwakilisha,akiwa na Dada yangu Esmah, Uncle na Blogger wangu & Photographer wa wasafi Hamish Donovan kuelekea nyumbani....!! |
No comments:
Post a Comment