Pages

Sunday, June 30, 2013

MASANJA MKANDAMIZAJI NA SHILOLE HAOOO MAREKANI


Wasanii wa tasnia ya vichekesho na filamu Tanzania na Masanja Mkandamizaji na Shilole,
Wamepata dili ya kwenda nchni Marekani kuhudhuria sherehe za miaka mitatu ya Vijimambo na Tamasha la utamaduni wa Kiswahili - Marekani litakalofanyika siku ya July 6 saa nne (Ya kule) na huku Mheshimiwa Raisi mstaafu Al Hassan Mwinyi akiwa ndio mgeni rasmi wa tukio hilo.
Pamoja na kuhudhuria tamasha hilo, inasemekana wasanii hao watapata nafasi ya kutumbuiza kwenye tamasha hilo.
 
 


No comments:

Post a Comment