MWENDESHA
Mashitaka wa Serikali (DPP) aliambulia patupu baada ya
Hakimu wa Mahamaka ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Dodoma, kumwachia huru
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, (CHADEMA) ambaye alimfikisha
kizimbani kujibu tuhuma za kumkashifu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kupitia
mitandao ya jamii. Kulia kwake ni Mhe. Tundu Lissu wakati wakitoka Mahakamani
Wajane wa Wanamuziki wa Rumba Tanzania: Walinzi wa Urithi wa Muziki wa
Kizazi Kilichopita
-
Katika historia ya muziki wa Tanzania, majina ya wanamuziki wakubwa wa
rumba hayajawahi kufutika kwenye kumbukumbu za mashabiki wa muziki. Lakini
nyuma y...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment