MWENDESHA
Mashitaka wa Serikali (DPP) aliambulia patupu baada ya
Hakimu wa Mahamaka ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Dodoma, kumwachia huru
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, (CHADEMA) ambaye alimfikisha
kizimbani kujibu tuhuma za kumkashifu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kupitia
mitandao ya jamii. Kulia kwake ni Mhe. Tundu Lissu wakati wakitoka Mahakamani
MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA SI YA TAKUKURU PEKEE-MAJALIWA
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa mapambano dhidi ya rushwa si
jukumu la TAKUKURU pekee bali kila Mtanzania anapaswa kushiriki kikamilifu
kusimamia ...
10 minutes ago
No comments:
Post a Comment