Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi runinga ya nchi 32 Katibu Twala wa mkoa
wa Pwani Mstaafu, Bernard Nzungu katika sherehe ya kuwaaga viongozi na
watumishi waliohama na wastaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI,
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka ya serikali za mitaa
iliyofanyika kwenye viwanja vyaBuge Mjini Dodoma Juni 22, 2013. Katikati
ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Hawa Ghasia. (Picha
naOfisi ya Waziri Mkuu) Makatibu
Tawala wa Mikoa Wastaafu, Bernard Nzungu (kushoto) na Getrude Chipaka
wakisakata Rhumba katika sherehe ya kuwaaga viongozi na watumishi
waliohama na wastaafu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Makatibu Tawala
wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka ya serikali za mitaa iliyofanyika
kwenye viwanja vyaBuge Mjini Dodoma Juni 22, 2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu) Makamu
wa Rais, Dr Mohamed Ghalib Bilal akizungumza katika kikao cha kujadili
masuala ya Muungano kilichofanyika kwenye hoteli yaNew Dodoma mjini
Dodoma Juni 23, 2013. Katikati ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Kulia ni
Waziri wa Elimu na Amali wa Zanzibar, Ali Juma Shamuhuna.. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu) Makamu
wa Rais, Dr Mohamed Ghalib Bilal akizungumza katika kikao cha kujadili
masuala ya Muungano kilichofanyika kwenye hoteli yaNew Dodoma mjini
Dodoma Juni 23, 2013. Kulia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Kshoto ni
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
BALOZI NCHIMBI KUONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA KIBIKI LEO
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
anatarajiwa kuongoza waombolezaji katika shughuli ya kutoa heshima za
mwisho na...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment