Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, June 30, 2013

PICHA ZA SHOW YA DIAMOND ALIYOFANYIKA HUKO TABORA BALAA JIONEE MWENYEWE



Msanii maarufu nchini Diamond hapa akiwa katika Show yake iliyofanyika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora.
Mapenzi sasa basi yana-run sana
Diamond wakati akiamua kucheza na kuonesha namna anavyoweza kujiachia katika Jukwaa la ukumbi wa Frankman Hotel. 
Hii ilikuwa lazima kwa wapenzi wa muziki wa BongoFleva kuchukua picha za msanii nguli Diamond kwa kutumia camera za simu. 



Kazi na dawa
piga keleleee...!
Wadau mbalimbali katika show
wadau hao waliotokelezea kisafi zaidi
Haikuwa vibaya kwa wadau hawa kushindwa kuzuia hisia zao kama ilivyoonekana kwa Mwanadada huyu ambaye alilazimika kujiachia pasipo kutarajia ndani ya Show hiyo ya heshima.


No comments:

Post a Comment