Hii ni hatua nzuri ya maendeleo kwa nchi nzima....ukiangalia kwa umakini picha hizi kwa ghafla unaweza usiamini kama ni zanzibar labda baadhi ya muonekano wa juu utagundua ndio kisiwani zanzibar... Maendeleo yaliyokuwepo kwenye bandari hii ni makubwa sana ukilinganisha na Bandari ya zamani ilivyokuwa inaonekana lakini kwa sasa ni kitu kingine,ukifika bandarini hapo unaweza ukasahau kama upo kisiwani hapo...!
Ni maendeleo makubwa kabisa kwa kisiwani zanzibar na ni mfano wa kuigwa kokote pale kwa hatua waliyopiga.... Zifuatazo Ni Picha za muonekano huo mpya wa Bandari ya kisiwani zanzibar....!! Inasemekana Mmiliki wa Azam Ndugu Bakhresa ndio aliedhamini mchakato mzima wa kutengenezwa kwa bandari hiyo...!! PONGEZI KUBWA KWA ZANZIBAR |
No comments:
Post a Comment