Pages

Sunday, June 30, 2013

SHOW YA DIAMOND MWANZA NI HATARIIIII...TAZAMA JINSI ILIVYOKUWA


Silaha hatari kama kawaida yao wakianza taratibu.....Mpera Mpera tu
hadi kieleweke''


Haya sasa ni mwendo wa nyoka nyoka tu.......
wataelewa sasa hivi au wataelewa baadae...?




Rama Mpauka akimseti roboti wake 
.....




....hapo sasa yanii....afe kipa afe beki lakini ushindi lazima....



Kaskazini mwa uwanja wa ccm kirumba umati
 wa watu waliofurika wakishuhudia
 amsha amsha ya wasafi





nimpende nani

show ikiendelea


Uwanja umetapika watu.












haya twende sasa. PICHA NA THIS IS DIAMOND

aaah..wosaaa aiiiii.....wosaaaaaa...ha ha ha ..vijana




No comments:

Post a Comment