Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini Radhia Msuya.
Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini kwenye picha hapo juu ametoa pole kwa familia,wasanii na wadau wote kwa kupotelewa na kijana ambaye bado watu walikuwa wanamuhitaji.Amesema kuwa mwili wa marehemu Ngwair umechelewa kufika Tanzania kutokana na post mortem na taratibu za kupata kibali cha kusafirisha mwili huo kutoka Serikali ya Africa ya Kusini.Radhia alisema kuwa kama taratibu zote zitaenda sawa mwili huo utawasili siku ya Jumanne Tanzania.MSIKILIZE hapo chini;
DKT. KIJAJI: USHINDI WA TUZO ZA UTALII DUNIANI NI MATUNDA YA FILAMU YA
'TANZANIA: THE ROYAL TOUR'.
-
Na Philipo Hassan – Dodoma
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameeleza kuwa
Tanzania kuibuka mshindi wa Tuzo mbalimbali za utalii...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment