Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR), Moses Machali akiwa amelazwa wodini. |
Akiendelea kupata nafuu baada kushambuliwa. |
Kamanda
wa Polisi mkoani Dodoma,David Misime akizungumza na waandishi wa habari
mjini humo jana kuhusu tukio la Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR) Moses
Machali kuvamiwa na vibaka eneo la Area E juzi usiku.Mtandao huu unatoa pole na mungu akujalie unafuu wa haraka.
|
No comments:
Post a Comment