TAZAMA PICHA HII NDO HALI ILIVYO SASA ENEO LA SOWETO ULIPOTOKEA MLIPUKO WA BOMU
HIVI SASA UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA HUKU ENEO LA TUKIO LIKIWA LIMEZIBWA
NA TURUBALI UCHUNGUZI UKIENDELEA KUFANYWA. ENEO HILO BADO LIMEJAA WATU
AMBAO HAWAAMINI KILICHOTOKEA JANA
No comments:
Post a Comment