TAZAMA PICHA MBUNGE WA ARUMERU JOSHUA NASARIA AKIWA AMELAZWA HOSPITALI BAADA YA VURUGU
Mbunge
Nassari anaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Selian Arusha
baada ya kushambuliwa vikali na watu wenye marungu,sime ambapo ameumia
kifua, shingo na Mgongo....alijinasua hapo baada ya kuwachomoka na
kuonyesha silaha nakuweza kuondoka eneo hilo.
No comments:
Post a Comment