Pages

Wednesday, July 3, 2013

AJALI MBAYA YATOKEA UBUNGO JIONI YA LEO,MTEMBEA KWA MIGUU AGONGWA NA GARI TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZITAKAZOONEKANA


Ajali hii ilitokea jana jioni , baada ya gari dogo lililokuwa linatokea maeneo ya Ubungo kwenda  Buguruni kumgonga mwenda kwa miguu aliyekuwa anavuka barabara katika maeneo Gereji,


Damu ilimtoka kwa wingi sana mara baada ya ajali katika maeneo ya kichwani, na hapo ilipotokea ajali kuna kivuko cha waendeo kwa miguu..picha na
Darubini Leo

No comments:

Post a Comment