Mtuhumiwa
Hery Kileo mwenye nguo nyeusi pamoja na wenzake wanaoshtakiwa kwa kesi
ya kumwagia tindikali Musa Tesha wakiingia mahakamani jana mjini
Tabota.
Mke wa Henry Kileo akiwa na M/Kiti wa Chadema Tabora Mbaruk pamoja na ,
Kwa
maoni ya Wakili Msomi PK ni kwamba Jaji alichukulia kesi hiyo na pia
akaheshimu na kuzingatia hali halisi ya Wakili, kwamba anatoka mbali Dar
es salaam na hivyo akaamuru Hoja za pande zote mbili zipelekwe
kimaandishi kuwaondolea usumbufu hasa wapeleka maombi ambao ni sisi
tunaosafiri kila siku. Na kwa sababu hizo basi tar 30july Jaji atataja
tar ya uamuzi.
No comments:
Post a Comment